...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Sunday, August 31, 2014
MAKAVU LIVE: PICHA TATA ALIYOTUPIA LINAH YAMPONZA.. APEWA ZA USO NA MAFANS WAKE!
4:53 AM
No comments

MSANII wa bongo flave lina sanga masaa mawili yaliyopita amepost picha instagram ikimuonyesha yupo beach lakini nguo aliyovaa ikiwa inaonyesha hadi chup*** yake aliyovaa miongoni mwa mashabiki wamefurahia na wengine wameboleka sana na kuamua kumchana live hapo chini ni baadhi ya comments za fan wake.
Wilbatyamisa Unajizalilisha Dada angun siyo wa kuvaa hivyo. Umeboa.
Marimmwakalinga11 Cjapenda best ur xo cuty but hilo vazi bad!!!
Annanold...
UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR UMEANZA TENA KWA KASI
4:41 AM
No comments

Ujenzi ukiendelea sasa wa jengo la airport nchini Zanzibar
Hivi ndivyo jengo litavyokua Bada ya kumaliza.
*******
HATIMAYE ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar uliokua umekwama kwa muda mrefu, umeanza kwa kasi huku ujenzi huo ukitarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kisauni nje kidogo ya mji mkuu wa nchi ya Zanzibar, Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,...
NDOA YA ANGELINA NA BRAD PITT: BRAD PITT AONESHA PETE YA NDOA
4:06 AM
No comments

BRAD Pitt na Angelina Jolie walifunga ndoa Jumamosi iliyopita nchini Ufaransa na taarifa za ndoa yao zilitolewa wiki hii na msemaji wao.
Kwa mujibu wa E!News , tukio hilo lilihudhuriwa na watu 22 tu na inaelezwa kuwa Angelina Jolie alivaa gauni jeupe ya kitamaduni iliyomfanya aonekane mwenye mvuto zaidi katika siku hiyo maalum kwao.
Chanzo kimeiambia MailyOnline kuwa Angie na Brad waliamua kufunga ndoa katika jumba walilolinunua mwaka 2011...
MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT
3:59 AM
No comments

Mwanaafa ndiyo mmbabe wa TMT na ndiyo alikuwa mdogo kuliko wato katika kinyang'anyilo hicho za Mil 50.
MSHIRIKI kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Mwanaafa ambaye ndiye mshiriki aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote ameshinda kitita hicho katika fainali iliyofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaa...
ANGALIA PICHASERENGETI FIESTA MJINI MOSHI
3:55 AM
No comments

Burudani zikiwa zimepamba moto katika Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Moshi usiku huu.
Chegge (kulia) na Mhe. Temba wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta Moshi.
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta mjini Moshi.
Mwanadada Feza Kessy akifanya vitu vyake stejini katika Serengeti Fiesta mjini Moshi.
Watangazaji wa Clouds FM, DJ Fetty na B12 wakionyesha mbwembwe zao wakati wa tamasha hilo mjini Moshi.
Msanii...
PICHA ZA RED CARPET KATIKA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) LILILOFANYIKA TAR 30/08/2014
3:53 AM
No comments
Wadau wa TMT wakiwa kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City katika FAinali ya Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji lijulikanalo Kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo Mshindi amepewa Shilingi Milioni 50 za Kitanzania.
Ceaser Daniel akiwa na Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike
Kikundi Cha TMT Survivor kikitoa Burudani
Kumi Bora ya washiriki Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mkuru
Mwenyekiti wa Makampuni...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WENGI wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Ki...
-
Jengo la Ghorofa 8 likiwa linateketea katika ghorofa ya 4,Jengo hilo linamilikiwa na mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la Haji Kube ,...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Mya Myat anataka aombwe msamaha na waandalizi wa shindano la taji hilo. ****** MSHINDI wa taji la urembo nchini Burma aliyenyang...
-
Martin Kadinda wakati akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Na Mayasa Mariwata IMEKAA POA SANA! Ubuyu kutoka Ho...