Monday, June 23, 2014

‘SHIKAMOO MZE’ NA ‘SHAHADA’ ALIYOIGIZA CLAUD ZIMEIBUKA KIDEDEA ZIFF 2014

Filamu ya JB, King Majuto na Shamsa Ford, ‘Shikamoo Mzee’ na ‘Shahada’ aliyoigiza Claud zimeibuka kidedea kwenye tuzo za ZIFF zilizotolewa jana visiwani Zanzibar.
image
Mtitu akipokea tuzo ya ZIFF kwa niaba ya Claud

Katika tamasha hilo la filamu la kimataifa, Zanzibar limehusisha zaidi ya waongozaji na watengeneza filamu 30 kutoka nchi mbalimbali.

image
Filamu za Bongo Movie zimetuzwa na ZUKU.
ZUKU PEOPLE CHOICE
Shikamoo Mzee

BEST ACTOR
Jackson Kabirigi
for Kisate and Nguvu ya Imani

BEST ACTRESS
Esha Buheti
for Mimi na Mungu wangu

BEST DIRECTOR
Issa Musa Cloud
for Shahada

BEST FEATURE FILM
Shahada
Issa Musa


0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI