Friday, September 26, 2014

VIN DIESEL AWEKA PICHA HII YA PAUL WALKER FACEBOOK, NA KUWAGUSA WENGI

MUIGIZAJI Vin Diesel ameweka kwenye facebook picha ya Paul Walker iliyogusa watu na mashabiki wengi duniani. 
Mpaka sasa picha hii imethibitishwa kuwa ni picha kutoka kwenye filamu ya Fast & Furious 7. 
Picha hii imeambatana na trailer ya filamu hiyo.
Paul Walker alifariki kwenye ajali ya gari akiwa na miaka 40 mnamo november mwaka jana katikati ya utengenezwaji wa filamu ya saba ya Fast & Furious.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI