- Picha na Habari
- Na Frank Mavura, Dar es salaam
- ******************
Hilo limeendelea kujidhihirisha katika ajali iliyotokea katika barabara ya Bagamoyo iliyoua watu sita na kujeruhi wengine 16.
Ajali hii imetokea majira ya mchana ambapo imehusisha jumla ya magari manne ikiwemo daladala mbili, gari ndogo moja na lori, iliyotokea eneo la Makongo karibu na hospitali ya Lugalo Dar es salaam ambapo mashuhuda wamesema ajali hiyo imekuwa ni miongoni mwa ajali mbaya kutokea katika mwaka huu, huku wakilaumu kuwa imesababishwa na uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa kupita upande ambao sio wake.
Daladala iliyopata ajali na kusababisha vifo vya watu sita na wengine kujeruhiwa
Sunday, June 22, 2014
RIPOTI KAMILI: AJALI YAUA WATU SITA PAPO HAPO NA KUJERUHI WENGINE 16 BARABARA YA BAGAMOYO
6:41 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
RAIS Mteule wa Marekani Donald Trump amepanga kufuta bajeti ya ununuzi wa ndege mpya ya Air Force One ambayo hutumiwa na marais wa nchi ...
-
HII imetokea katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa n...
-
Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya k...
0 comments:
Post a Comment