Monday, June 23, 2014

KUMBE SALAMA JABIR ANAJUA KUMUONESHA MTU MAPENZI YA KWELI!?? EEEH!!!

MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha mkasi Salama Jabir, kaonyesha kumbe ana hisia za kimapenzi, Salama alidhihirisha wazi kumzimia mchezaji maarufu wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Karim Benzema…
Hiyo ilikua katika mechi dhidi ya Switzerland na timu ya taifa ya Ufaransa, Salama alikua akihangaika kutweet kwenye wall ya mchezaji huyo huku akionyesha wazi kuwa anamzimia.
 

****cheki hapa baadhi ya tweet zake.***

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI