Basi la Kampuni ya Proin Promotions likiwa kwa fundi kwaajili ya kubadilisha tairi ambalo lilipata pancha eneo la kiomboi mkoani Singida wakati timu ya Proin ikitoka Mwanza kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Misigiri Iliyopo Mkoani Singida wakiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Filamu Tanzania Single Mtambalike Rich Rich wakati waliposhuka eneo la kiomboi mara baada ya gari walilokuwa wakisafiria timu ya Proin Promotions kutoka Mwanza kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya Shindano la kusaka vipaji vya Kuigiza kupata pancha.
Wakina Dada ambao wanafanya biashara ya kuuza chakula katika eneo la Kiomboi Mkoani Singida wakiwa katika Picha ya Pamoja na Single Mtambalike wakati waliposhuka eneo la kiomboi mara baada ya gari walilokuwa wakisafiria timu ya Proin Promotions kutoka Mwanza kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya Shindano la kusaka vipaji vya Kuigiza kupata pancha.
Monalisa akifurahi jambo na wanafunzi hao wakati waliposhuka eneo la kiomboi mara baada ya gari walilokuwa wakisafiria timu ya Proin Promotions kutoka Mwanza kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya Shindano la kusaka vipaji vya Kuigiza kupata pancha.
0 comments:
Post a Comment