Pambano hili lililofanyika kwenye ukumbi wa PTA ambapo bondia Francis Miyeyusho alipigwa na bondia kutoa Thailand Sukkasem Kietyongyuth kwenye raundi ya kwanza kwa knock out.
Bondia huyo wa Thailand alimpiga Miyeyusho dakika ya kwanza na sekunde 54 na kwenye hizo dakika alianguka mara kadhaa hadi refa anampa ushindi mthailand huyo.



Picha: Seleh Jembe
0 comments:
Post a Comment