Kocha mkuu na meneja wa
wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa.
Meneja wa klabu ya
Manchester United David Moyes amefutwa kazi baada ya kushikilia usukuni wa
klabu hiyo kwa miezi kumi tu.
Klabu hiyo hapo awali
ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magezti kuwa Moyes atafutwa kazi kabla ya
msimu kumalizika.
Moyes, mwenye umri wa
miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana baada ya kuwa
na klabu hiyo kwa miaka 26.

Chanzo: BBC
0 comments:
Post a Comment