ULIMWENGU WA HABARI
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
Home
samfrod Media
Samfrod Media
Ulimwengu wa habari
Samfrod TV
Media
Picha
Videos
Miziki
Audio
Magazeti
Global Publishers
Ijumaa
Uwazi
Risasi
Mwananchi
Tanzania Daima
Mwanaspoti
Redio
Mawasiliano
Samfrod Media
Ulimwengu wa habari
Clouds TV
Monday, March 17, 2014
RIDHIWANI KIKWETE ADHAMIRIA KUWAKOMBOA WANA CHALINZE
2:25 AM
No comments
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kwaruhombo, jana Machi 16, 2014.
Ridhiwani Kikwete ameahidi kuyashughulikia Matatizo mbali mbali wanayokabiliana nayo Wananchi wote wa Jimbo la Chalinze, yakiwemo ya Barabara, Maji, Elimu, Matibabu na mengine mengi ambapo amesema atayafanyia kazi atakapopewa ridhaa ya kuwa kiongozi wa Wanachalinze.
Picha na Othman Michuzi
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wapungua mkono wananchi wa Kijiji cha Kwarihombo,wakati alipokuwa akiwasili kwenye Kijiji hicho,leo Machi 16,2014.Picha na Othman Michuzi.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kulia) akimsikiliza kwa makini Mlemavu wa miguu,Hamis Ibrahim Mkazi wa Kijiji cha Kwarihombo,ambaye alikuwa akimuomba Mgombea huyo msaada wa kupatiwa Baiskeli ya kulembelea kutokana na kwamba aliyonayo imechoka sana.Ridhiwani ameahidi kumpelekea Baiskeli mpya ya kutembelea Mlemavu huyo.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) na
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven Kazidi wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja dogo katika Kijiji cha Chang’ombe,linalounganisha Barabara inayotoka Kwarihombo kupitia Kwamsanja mpaka Kibindu,Kata ya Kibindu,ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 16,2015.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea Jogoo kutoka kwa kina Mama wa Kijiji cha Kwamsanja,Kata ya Kibindu leo Machi 16,2914.
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven Kazidi akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa Wananchi wa Kijiji cha Kwarihombo,Kata ya Mbwewe,Bagamoyo leo Machi 16,2014.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
*PICHAZ* ZA KIMAHABA ZA NAY WA MITEGO ZAZUA KIZAAZAA, MPENZI WAKE AMKIMBIA!
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
TFF YATAKIWA KUWAENDELEZA VIJANA WA ARS
Baadhi wa washiriki wa kliniki ya soka ya Kimataifa ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa umakini mafunzo ya darasani kwenye uwanja...
SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO, IFAHAMU HAPA!!!
Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako. HERUFI A ...
ANGALIA PICHA ZA KILI MUSIC TOUR 2014 TANGA
TAMASHA la Kili Music Tour limekamilisha awamu ya kuzunguka mikoani kwa show iliyofana katika uwanja wa Mkwakwani Tanga. Tamasha hilo...
YAFAHAMU MADHARA YA PUNYETO IKIWEMO UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye ta...
Popular
Tags
Blog Archives
Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below
Powered By
Blogger Widgets

WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUJIWEKA FITI
WAREMBO wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semi...
SENTENSI 'KUNTU' ALIZOZIONGEA MUME WA LADY JAY DEE, GADNER G. HABASH KWENYE MKASI!
MTANGAZAJI Gardner G. Habash ni miongoni mwa Watangazaji hodari ambao Tanzania imewahi kuwa nao ambapo alianza kwa kusikika kupit...
CHEKI PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO, WANAJESHI WALIVYOTIA FORA
Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride... Paredi la askari … . likiwa ni tofauti na ilivyozoeleka.....
HII NDIYO LISHE IMFAAYO MAMA MJAMZITO KWA AFYA YAKE NA MTOTO ALIYETUMBONI MWAKE
Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana, kwani lishe hii hutumika kwa mama na mtoto anaendelea kukua tumboni. Kwa kawaida ma...
DIAMOND AANDIKA BARUA YA KUOMBA MSAMAHA JWTZ
LIKE FACEBOOK PAGE UWE UPDATED
SASA NI SAA...
Dar es Salaam
*****ULIMWENGU WA HABARI*****
MTANDAO UMETENGENEZWA NA
Powered by
Blogger
.
KUHUSU UWH
Unknown
View my complete profile
WATEMBELEAJI
SOMA ZILIZOPITA
January
(15)
December
(97)
November
(308)
October
(29)
July
(14)
June
(5)
May
(3)
March
(24)
January
(49)
December
(10)
November
(109)
October
(144)
September
(361)
August
(253)
July
(63)
June
(71)
May
(51)
April
(83)
March
(83)
February
(80)
January
(269)
December
(313)
November
(405)
October
(506)
September
(460)
August
(445)
July
(279)
June
(382)
May
(168)
April
(320)
March
(255)
October
(2)
May
(11)
April
(10)
January
(11)
December
(25)
November
(49)
October
(16)
International Calendar
!-end>!-my>
UNGANA NA MARAFIKI
TANGAZO
MITANDAO MINGINE
MICHUZI
CCM Blog
Millard Ayo – Official Website
Bongo Blogs - Blog ya Taifa
MO BLOG
Chadema Blog
SUFIANIMAFOTO
ULIMWENGU WA HABARI
KwetuTz
TV1 Your No.1 Entertainer
NAVY KENZO
0 comments:
Post a Comment