
Picha na Philemon Solomon, Dodoma


Waziri Maghembe, amewataka wananchi kuacha kutumia kuni na mkaa kwa matumizi ya nyumbani na badala yake kutumia gesi kama nishati mbadala Maadhimisho hayo yanayolenga kuelimisha jamii juu ya matumizi bora ya maji na mazingira , huku kauli mbiu ikiwa ni Uhakika wa Maji na Nishart.





0 comments:
Post a Comment