NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Monday, March 31, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AMKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimvisha medali ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014, Dk. Maria Kamm. Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Dk. Maria Kamm aliyetwaa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 ndani ya Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D, Dodoma Waziri Mkuu akimkabidhi tuzo, Anna Margareth Abdallah, kwa niaba ya mshindi wa pili ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria...

UZINDUZI WA TV 1 ULIVYOFANA, BURUDANI KABAMBE TOKA KWA NAVY KENZO NA BARNABAS

TV 1 imekuwa ni runinga inayoshika kasi sana hapa mjini kitu kinachotishia hata uwepo wa wale wakongwe hapa mjini, mwishoni mwa mwezi uliopita televisheni hii mpya na maarufu hapa mjini kwa kuonyesha movies na vipindi kabambe vya burudani lakini pia ikiwa ni tv inayokuja vizuri katika uwanda wa habari, ilifanya uzinduzi wake ambao ulifanyika katika hoteli ya Southern Sun ambapo waliitisha mkutano na waandishi wa habari na kueleza mengi ikiwemo mambo...

ZILIZOSOMWA ZAIDI