
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah anaendelea na nyimbo zake
za kiuwanaharakati ambapo anatarajia kuachia wimbo wake mpya ‘Wana
Ndoto’ aliomshirikisha binti mdogo.
Rapper huyo alisema wimbo huo unazungumzia maisha ya jamii pamoja na
watoto wadogo ambao wanandozo za kufanya mambo fulani katika maisha yao.
Jumatano hii, Kala ameamua kuweka wazi uwezo na binti huyo ambaye amemshirikisha katika wimbo huo.
“Nimewahi kukutana na watoto...