Monday, October 12, 2015

RAIS WA NAMIBIA AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini leo Oktoba 12, 2015
 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI