Sunday, October 25, 2015

RAIS KIKWETE ''NITASTAAFU KUANZIA NOVEMBER 5, 2015''

RAIS JAKAYA Kikwete amesema kuwa tarehe 5, Mwezi November atakuwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Rais ameyasema hayo alipokuwa akipiga Kura leo katika jimbo la Chalinze - Msoga ambapo aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI