Sunday, October 4, 2015

LOWASSA ATIKISA KISIWANI PEMBA KWA MAFURIKO YA AJABU, JIONEE MWENYEWE HAPA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa
UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba October 3, 2015.
Picha na Othman Michuzi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI