
Ukiachana na ishu ya magari ya kifahari, mastaa wanapenda pia kutumia Boti kwenye maisha yao ya kuenjoy kwa upande mwingine.
Katika mtandao wa The Richest wametoa orodha ya boti za kifahari zaidi duniani ambazo zimetengenezwa kwa gharama kubwa.
List na pichaz zake viko hapa mtu wangu..

Yuri Scheffler

Super Yatch

Travel Nerd Nicci

Bilgin Yatch

Bornrich Yatch

Tropical Island Paradise

Yatch Street of Monaco

Princess Mariana Yatch

Diamond Yatch

Hemisphere Yatch

Mega Yatch

‘A’ Superyacht
0 comments:
Post a Comment