Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita (20-09-2015).
Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
#Picha na Francis Dande
0 comments:
Post a Comment