

Staa wa Nigeria Yemi Alade ameendelea kujipatia mafanikio kupitia Industry ua muziki wake.
Kwenye album yake ya ‘Kings of Queens’ Yemi Alade wakati wowote ataachia video yake mpya inayoitwa ‘Sugar’ iliyoongozwa na mtayarishaji Paul Gambit.
Hizi ni picha za Behind the scenes.









0 comments:
Post a Comment