Saturday, August 1, 2015

WEMA SEPETU AMJIBU DAIMOND PLATINUMZ KWA KUMWAMBIA HIVIII…..!!!! SOMA HAPA.

Wema Sepetu baada ya kushindwa kura za maoni na kuambulia kura 90 dhidi ya wapinzani wake. 
Wema Sepetu aliwasili tokea Dodoma na kupokelewa na umati mkubwa watu na msafara hadi nyumbani kwao Sinza.
Baada ya kufika aliweza kutoa shukrani zake na maneno yake ya hekima.
Kilichokuja kuibuka ni kwamba ilikuwa kama anarusha dongo kwa timu pinzani yani Team Zari na Team Daimond.
”Wanasema watanyoka watanyooka wao, sasa naomba niulize tumewanyoosha au mwanetunyoosha?

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI