Tuesday, August 11, 2015

PICHA ZA MAAJABU YOTE YALIYOJITOKEZA SIKU LOWASA AKICHUKUA FOMU YA URAIS, JIJINI DAR

Jiji la Dar es salaam jana *10/08* ilikuwa kama ni sikukuu hivi baada ya LOWASA kufunga kazi za watu na kuambatana nao kwenda kuchukua form ya Urais,hapa kuna picha ambazo tumezinasa katika tukio hilo zikionyesha matukio ambayo yamesisimua sana katika matembezi hayo yaliyozunguka sehemu kubwa ya jiji la Dar es salaam, Huyu ni mbunge Tundu Lissu akiwa ameshikilia kadi yake ya mpiga kura akiwaonyesha wanachama waliojitokeza.
Bodaboda
Katika hali ya kushangaza gari la maabusu lilipita maeneo yale wakati likienda mahakamani na ikawabidi kusimama na kuanza kushangilia kwa ishara ya vidole viwili yani CHADEMA

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI