"Wasanii wa Tanzania, wakati tunatetea kazi zenu kurasmishwa ili mfaidi jasho lenu, hawa mnaowaimbia Leo hawaikuinua mdomo wao kuwatetea. Kampeni zikiisha na thamani yenu imeisha. Tulipopaza sauti kupinga unyonyaji wa makampuni ya simu kwenye RBT hawa wanaoahidi kuwatetea Leo hata habari walikuwa hawana. Naomba mtafakari sana hatma ya tasnia yenu." Ameandika hayo katika akaunti yake ya Instagram.
Monday, August 24, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
MOTO ukiwaka katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jirani na mataa ya Kamata kufuatia vurugu zilizotokana na Machinga wa Kariak...
-
NI ngoma ambayo ni kama remix ya kizaizai iliyofanywa na platnumz siku za nyuma. Ambapo hapa imemkutanisha Ngololo master na mkali kut...
-
WIMBO wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. Wimbo huo al...









0 comments:
Post a Comment