Saturday, August 1, 2015

FAIZA ALLY AWACHANA WANAODHANI AMEPOKONYWA MTOTO NA MBUNGE WA MBEYA MHESHIMIWA SUGU

Haya ndiyo aliyoandika mwanadada huyu katika mtandao wa kijamii…TAHADHALI inatolewa katika lugha endapo itakuudhi kwani ni nukuu ya moja kwa moja ya Faidha na mtandao huu haujaongeza neno lolote.
������ mtoto ninae na hatoki manina zenu- na vivazi ndio hivyo �������� nimecheka sana kuna bwege na mabwege wenzie wanajua mwanangu alichukuliwa eti wanafurahia hahahahaaa mtasubiri na madira sivai������- mwanangu hajachukuliwa n'go na hatachuliwa kamwe!!!!!! Na vimino siachi ndio kwanza usichana unaanza nyie mnao nione mzee mna malienge �������� aka makengeza !!!! Oh yeah mimi mzuri kudadeki!!!!! Kama huamini jiangalie halafu ujifananishe ������ na mie ��

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI