Monday, August 24, 2015

CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE JIJINI DAR


 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakionyesha Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015-2020  katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiye aliwakabidhi ilani hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza  kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza baada ya kukabidhi ilani kwa mgombea wa CCM
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete(kulia) akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM  (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed  Shein kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.
 Wasanii wa bongo wakiwa jukwaani.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI