Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM)
Saturday, August 22, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WIMBO wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. Wimbo huo al...
-
Ni kinga dhidi ya magonjwa ya moyo, presha, vidonda vya tumbo, saratani ya figo, kukosa choo. Ndizi mbivu ni tunda ambalo linafahamika...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Zanzibar Mhe Ha...








0 comments:
Post a Comment