NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Monday, August 31, 2015

SHUHUDIA MKUTANO WA KAMPENI DUNI HAJI MGOMBEA MWENZA CHADEMA HUKO MTWARA

Mgombea Mwenza CHADEMA+UKAWA Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Mtwara kwenye kampeni Jana ...

MAMA MZAZI WA ZARI ATEMBELEA ‘IKULU’ YA DIAMOND PLATNUMZ *PICHAZ*

Mtoto Latiffah Nassib a.k.a Princess Tiffah anazidi kuongeza ukaribu kati ya familia za wazazi wake, Diamond pamoja na Zari. Takribani wiki tatu baada ya Zari kujifungua, mama yake mzazi amefunga safari kuja Tanzania kumsalimia binti yake pamoja na kumuona mjukuu wake. Mama yake Zari akiwa amembeba Tiffah Zari ameshare picha ya mama yake akiwa amemtambelea nyumbani kwa Diamond akiwa amembeba Tiffah na kuandika; “Good morning, tag someone...

MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA JIMBO LA PERAMIHO MKOANI RUVUMA LEO *VIDEO*

...

MH.PAUL MAKONDA KATIKA UZINDUZI WA VITABU VYA MWL.LILIAN NDEGI

Mh.Paul Makonda akizindua vitabu  Mh.Paul Makonda alipokuwa akionesha vitabu baada ya kuzindua Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mh.Paul Makonda siku ya jana katika kanisa la Living Water Center chini ya mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi alikuwa mgeni wa heshima katika uzinduzi wa vitabu vitatu  "MJUE MWANAMKE,USIIPE HOFU NAFASI na RAFIKI ANAYEKUFAA vilivyoandikwa na Mwl Lilian Ndegi wa Kanisa la Living Water Center Kawe. Ibada...

CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU YAMNADI KIPPI WARIOBA

Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba (katikati mbele), akisindikizwa na wanachama wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju, wakati CCM ilipozindua kampeni kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana. PICHA/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge...

CHADEMA YATOA ILANI YAKE KATIKA MOSHI

Meneja Kampeni wa mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael ,Bw Raymond Mboya akifanya utamburisho mbele ya wanahabari wa mkutano wa mgombea huyo na wanahabari uliofanyika katika Hotel ya Keys.X Waandishi wa Habari mkoa wa Kilimanjaro ambao ni wawakilishi wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa katika kikao na mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael. Mbunge wa...

WAKILI MAARUFU PETER KIBATALA AELEZA MANTIKI YA LOWASSA KUWATOA MASHEIKS & BABU SEYA

Babu Seya na Mwanawe Wakiwa Chini ya Ulinzi wa Magereza Kuna watu wanajaribu kupotosha nini hasa mantiki ya Mgombea Edward Lowassa kuahidi kushughulikia suala la Sheikhs wa Zanzibar na suala la Babu Seya. Suala la Sheikhs wa Zanzibar liliihusisha Chadema kabla hata Lowassa hajahamia huku. Binafsi niliombwa na Dr Slaa kulishughulikia, lakini bahati mbaya nilikuwa nina cases kadhaa zilizonifanya nikwame. Lakini cha muhimu zaidi ni kwamba wana...

ZILIZOSOMWA ZAIDI