BASI la Nganga linalofanya safari Iringa – Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro. Watu takribani 18 wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto. Ajali hyo imetokea leo asubuhi saa 2.
Sunday, April 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
MWAKILISHI wa mtandao wa Alibaba ndiye tajiri mkubwa zaidi nchini Uchina kulingana na rekodi za kampuni yake. Hili imethibitishwa n...
-
Hanging With The Bro! Diamond Platnumz & Kanye West Take A Selfie In L.A. Tanzanian music sensation Chibu Dangote also known has Diam...
0 comments:
Post a Comment