NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Thursday, April 30, 2015

CHEKI NA UPAKUE BRAND NEW VIDEO YA JOH MAKINI - NUSU NUSU (HD)

...

Wednesday, April 29, 2015

SHAMSA FORD: MNIKOME KUANZIA LEO NAISHI NITAKAVYO MIMI NA KUFANYA KILE AMBACHO NAHIC KINAFAIDA KWANGU

BAADA ya kuchoshwa na maneno ya watu kuhusu maisha yake binafsi, staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kuweka wazi msimamo wake kwa mashabiki zake wote. “Siku zote nimekuwa muoga kuishi maisha yangu kwa kuogopa watu but hao watu naowaogopa hata siku moja hawajawahi kuogopa kuishi maisha yao kwa kuniogopa mm.. from today nitaishi nitakavyo mimi na kufanya kile ambacho nahic kinafaida na kunifurahisha katika maisha yangu. Mashabiki...

Friday, April 24, 2015

JOH MAKINI AACHIA VIDEO MPYA - NUSU NUSU

JOH MAKINI amekuwa ni mmoja wa wasanii ambao wamekuwa wakifanya kazi zao vizuri ili 'kutusua' kimataifa ambapo kwa sasa msanii huyu mahiri ameachia kichupa kingine cha ukweee sana 'Nusu nusu' kupitia kituo cha kimataifa cha MTV Base 'Spanking New'  Joh ameutaarifu ULIMWENGU WA HABARI kuwa Video hiyo imeongozwa na Justin Campos muongozaji aliyeongoza ile Video ya Vanessa na K.O - 'No body but me' ambayo mpaka sasa inafanya vizuri tu katika...

BIBI WA MIAKA 54 ALIA BAADA KUTOROKWA NA MCHUMBA WAKE WA MIAKA 25 *PICHA*

HARUNI SANCHAWA NA MAKONGORO OGING, PWANI LILE sakatala lililotamba kwenye vyombo vya habari la  bi harusi, Bahati Mwakambonja (54), kutaka kufunga ndoa na kijana wa miaka 24, Isiaka Jeremiah limechukua sura mpya baada ya bwana harusi huyo kutoweka nyumbani Mkuranga, Pwani na kwenda kusikojulikana huku bibi huyo akishinda analia. Bibi Bahati Mwakambonja anayedai kutorokwa na mchumbaake. Timu ya Amani hivi karibubni ilifika nyumbani kwa...

BILIONEA DANGOTE ATUA MTWARA KUCHEKI ENEO ANALOTARAJIA KUTENGENEZA BANDARI

Biionea Alhaji Aliko Dangote amekabidhiwa hekari 2,500, katika halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ili ajenge bandari itakayotumika kusafirisha saruji kutoka kiwandani hapo kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi. Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dabgote akinyoosha mkono kuangalia eneo la ufukwe wa Bahari ya Hindi katika Kijiji cha Mgao,...

MHE ANDREW CHENGE AZUA TIMBWILI JIPYA OFISI ZA CHADEMA BARIADI, RISASI TATU ZAFYATULIWA HEWANI

  Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge. ****** Wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, wanadaiwa waliingia ‘anga’ za ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Bariadi na kusababisha taharuki kubwa, baada ya mmoja wa wafuasi wake kudaiwa kufyatua risasi tatu hewani.   Tukio hilo lilitokea katika ofisi za Chadema juzi saa 1:30 jioni baada ya wafuasi...

JACK DUSTAN: WAUME ZA WATU WATATUUA

STAA aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya. Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa na skendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema: “Yaani sisi mastaa tumepachikwa nembo ya kupora waume za watu. Imefika wakati hata kama umempata mpenzi wako mtu anakuuliza umempora nani. Huwa inaniuma...

ISIKILIZE & UIPAKUE TRACK MPYA YA SOGGY DOGGY FT. BAGHDAD & G NAKO - NAFUNGA ZIPU *AUDIO*

...

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAFANYA UCHAGUZI KUMTAFUTA MFANYAKAZI BORA 2015

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakitoa salamu ya wafanyakazi wakati wa uchaguzi wa kumpata mfanyakazi bora wa ofisi kwa mwaka 2015 uliofanyika jana katika ofisi hiyo. Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisikiliza maelekezo ya uchaguzi wa mfanyakazi bora wa ofisi kwa mwaka 2015 uliofanyika jana katika ofisi hiyo. Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili Bw. Methew Kirama mwenye Ipad (wa...

Wednesday, April 22, 2015

SIMBA YA EMMANUEL OKWI YAIFUMUA MGAMBO JKT 4-0 LIGI KUU TANZANIA BARA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM

  TIMU ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo imefuta machungu ya kupoteza mchezo uliopita jijini Mbeya dhidi ya Mbeya City baada ya kuwashushia mvua ya magoli wanajeshi wa Mgambo JKT kutoka jijini Tanga kwa kuwachakaza magoli 4-0 katika mchezo ulipigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba wakiwa katika kiwango cha hali ya juu kabisa hii leo walianza kuliona lango la mgambo JKT mapema kabisa mnamo dakika ya 8 kupitia kwa mshambulizi...

Tuesday, April 21, 2015

NDEGE YA KIPEKEE INAYOTUMIA NGUVU YA JUA ILIKWAMIA CHINA, KITU KIMOJA TU KIMEIKWAMISHA *PICHAZ*

Ni ndege ambayo ilianza safari yake March 9 2015 Abu Dhabi na ikafanikisha salama safari zake kwa kupaa angani na kupita Oman, India na Myanmar. Marubani wawili wanaoiendesha wanasema wanataka kuvunja rekodi kwa kuuthibitishia ulimwengu kwamba Ndege inayotumia nguvu ya Jua inaweza kutumika kwenye dunia ya sasa. Pamoja na hayo, safari yao bado ni ndefu ambapo siku mbili zilizopita waliripotiwa na CNN kwamba safari yao imekwama China kwa...

DIAMOND NA MPENZI WAKE ZARI WAGOMA KUTAJA JINSIA YA MTOTO WAO MTARAJIWA!!!

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini. Akizungumza na mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi ya mwanaye lakini hayupo tayari kuitaja. “Tayari baby ameshapima na kujua jinsi ya mtoto lakini siwezi kuitaja kwa sasa maana...

CHEKI NA UDAUNLOD BRAND NEW VIDEO YA BEN POL - SOPHIA

NI Bonge la udeo toka kwa mkali wa RNB Ben Pol ambaye ni kipenzi cha kinadada. Location ni huko kwao Dodoma. Enjoy ngoma….!...

Monday, April 20, 2015

TAFITI ZINAONESHA ASILIMIA 50 YA WANAUME NI WAGUMBA, FAHAMU DALILI NA JINSI YA KUEPUKA JANGA HILI!

WANAUME wengi hapa nchini na nchi nyingi za Afrika bado hawafahamu kwamba tatizo la ugumba si kwa wanawake pekee bali wanaume pia hukumbwa na tatizo hili tena kwa asilimia sawa kabisa na wanawake.Tafiti za kitabibu zinaonesha kuwa matatizo ya ugumba huwakuta wanaume kwa asilimia 50 kama ambavyo 50% inayobaki huwa ni kwa wanawake. Kutofahamu huku kumekuwa mwiba mkali kwa wanawake pale inapotokea wanandoa wameishi zaidi ya mwaka mmoja bila mwanamke...

NYUMBA YA MASANJA MKANDAMIZAJI??? ICHEKI HAPA *PICHAZ*

MASANJA Mkandamizaji akipozi. ...

HARUSI YA MTOTO WA MIZENGO PINDA ILIVYOMTOA MACHOZI LULU KATIKA HARUSI YAKE *PICHAZ*

Ikumbukwe kwamba Chrispine Mizengo Pinda na Adeline Ngugi wote wamehitimu pamoja katika chuo cha kimataifa cha Diplomasia kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam amabapo walisoma Post Graduate in Management of Foreign Relations. Bwana Harusi Chrispine Mizengo Pinda akiingia ukumbini wakati wa Sherehe ya ndoa yake na Bi.Adeline iliyofanyaka katika ukumbi wa JK Hall viwanja vya Saba saba Jijini Da r es Salaam Jana. Marafiki wa karibu wa Chrispine...

MUME WA SHAMSA FORD AMPOST 'EX' WA NAY WA MITEGO 'SIWEMA' *PICHAZ*

 Magazeti, Blogs na vituo vya radio vimeripoti mara kadha tetesi za mapenzi ya mastaa Nay wa Mitego na Shamsa Ford wa bongo movie baada ya pciah kadha za Shamsa akiwa nyumbani kwa Nay Wa Mitego kusamba. Stori hii ilivuma zaidi baada ya picha ya busu la Nay Wa Mitego na Shamsa kuwekwa mtandaoni na Diamond huku Shamsa akisema ni filamu inakuja. Hivi karibuni mume wa Shamsa ametumia kurasa yake ya Instagram kumpa sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay...

FAHAMU KIINGILIO KATIKA WHITE PARTY YA ZARI *ENTRANCE FEES TO DIAMOND PLATINUMZ MAY 1ST, EVENT*

 WE both heard and saw the pictures about May 1st, the date which promise to bring big things to Dar es Salaam, from Tanzanian sensation Diamond Platinumz. So, the event will take place at Mlimani City and below are the entrance fees as communicated by Diamond and his team;50,000/= 100,000/= VIP1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the...

ZILIZOSOMWA ZAIDI