Watu waliobadili jinsia huko Allanabad
MSICHANA aliyempenda mpenziwe wa dhati nchini Uingereza hakuamini alipogundua kuwa mwanamume huyo alikuwa amezaliwa msichana.
Mwanamke huyo hakugundua licha ya kuwa na uhusiano na mwanamume kwa jina Kieran Moloney ambaye alizaliwa na kuitwa jina Ciara.
Maumbile ya kiume ya jamaa huyo yalimuhadaa binti huyo kwa siku nyingi sana.
Kwa miaka mingi Moloney alificha siri hiyo hadi alipokutana na mwana dada huyo Charlotte mwaka 2012.
Lakini licha ya kisa hicho cha kushtua wawili hao wameamua kufanya harusi huku wakitumia mbegu za kiume zilizotolewa na rafikiye Moloney.
Charlote amesema kuwa hakudhani kuwa mpenziwe alizaliwa mwanamke lakini alipomueleza aliona hakuna makosa.
0 comments:
Post a Comment