Monday, November 10, 2014

MOJA YA KANISA LA KITAJIRI TANZANIA LAZINDUA HELIKOPTA CHINI YA MCHUNGAJI GWAJIMA *PICHAZ*

Rubani wa helikopta hiyo akijiandaa kuirusha helikopta hiyo.
Helikopta ikiwa hewani.
Hapa ikijiandaa kutua.
Helikopta ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa leo hii katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyopo Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo nchini.
Uzinduzi huo pia uliohudhuriwa na Mbuge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye alikuwa ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo ulioendana na kukata utepe kisha kuirusha helikopta hiyo hewani kama ishara ya kuanza rasmi kazi yake ambayo ni kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo.
(Picha/ Shani Ramadhani na Chande Abdallah).

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI