KAMA ingekuwa Bongo basi watu wangeamini kuwa bibi harusi karogwa! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mdogo wake Beyonce, Solange alifunga ndoa na kusherehekea kwa furaha lakini ilipomalizika mwili wake hususan usoni uliibuka na vipele (hives) kama tetekuwanga!
Solange akionekana kuwa kwenye maumivu baada ya kuibuka vipele hivyo vinavyodaiwa kutokana na allergy.
Hizi ni picha za wakati mambo hayajaharibika.
0 comments:
Post a Comment