
Run DMC
TOKA miaka
ya 80 wasanii wemakuwa na kofia tofauti zinazo watofautisha na wasanii wengine,
LL Cool J ,Run D.M.Cwaligundua kofia aina ya bucket hat ambayo kwa sasa anavaa sana
Schoolboy Q. Hizi Picha za wasanii wengine wenye tamaduni ya kuvaa kofia ya
aina moja

Hutaweza kuisahau Kofia hii ya T-Pain.

Jay Z na kofi zake za New York

Ll Cool J

Msanii mpya asiyechana nywele School Boy Q

Notorious B.I.G

Pharrell Williams Na Kofia Yake Iliyofanya Vizuri Baada ya wimbo wa Happy

Picha nyingi za Andre 3000 utamkuta amevaa hizi kofia.
0 comments:
Post a Comment