Monday, October 27, 2014

UNAJUA UREMBO WA UNGO NA SAHANI UNAVYOWEZA KUPENDEZESHA NYUMBA YAKO..? CHEKI HAPA!! *PICHAZ*


Mambo ya ubunifu hayo sasa sijui utanunua sahani kwa ajili ya chakula nyumbani au kwa tupambe ukuta?
Au ungo kwa mimi ningetumia vile viungo vidogo vidogo tena siku hizi unaweza kuzipaka rangi hizo nyungo ukawa na rangi nzuri tu kulingana na namna nyumbani kwako palivyo au rangi unazopenda na mpangilio wa furniture ulivyo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI