UVUMILIVU wa
kusubiri mwanaume wa kuja kumpigia goti na kumuuliza ‘will you marry me?’,
umemshinda mwanamke mmoja wa Uingereza, aliyeamua kuchukua uamuzi wa
kujichumbia na kujioa mwenyewe!
Grace Gelder
ambaye ni ‘mme na mke’ alijichumbia November, 2013 na baadae kujioa March, 2014
na kuamua kufanya sherehe ya harusi yake iliyohudhuriwa na wageni 50.
Na ule wakati
wa ile hatua ya ‘you may now kiss the bride’ ulipowadia, Grace alijibusu kwenye
kioo.
Mwanamke huyo alisema baada ya kuwa single kwa miaka 6 aliamua ku-fall in
love na ‘yeye mwenyewe’ baada ya kuona hapati mtu wa kumpenda.
Mwanamke huyo alisema kuwa pia wimbo wa Björk song Isobel ambao una
mstari unaosema ‘My name’s Isobel, married to myself’, nao ulimuhamasisha
kutimiza azimio lake.
Chanzo: Mirror
0 comments:
Post a Comment