Monday, October 13, 2014

MICHAEL ESSIEN AKUNUSHA KUAMBUKIZWA EBOLA

BAADA ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya - hajaathirika na ugonjwa huo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI