Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha
Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya
maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanajadiliwa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini
Dodoma ambapo aliwaeleza juu ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha
siku mbili kinachoendelea mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya
Mrisho Kikwete imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea kimapato na kiuchumi.
0 comments:
Post a Comment