Monday, October 13, 2014

ANGALIA MATUKIO HAYA ALIYOYAFANYA NUH MZIWANDA AKIWA NA SHILOLE JUKWAANI *PICHAZ*

Nuh Mziwanda na shilole wakiwa jukwaa moja wakiburudisha mashabiki wa katika ukumbi wa matei lounge
Shilole akifanya yake jukwaani akiwa na washezo show wake wekeend hii Mkoda Dodoma kwenye ukumbi wa Matei Lounge Area D
Shilole akiimba kwa hisia stejini.
hapo sasa
Shilole akienelea kuwaburudisha mashabiki wake Mkoani Dodoma
Nuhu Mziwanda Naye jukwaani kama kawaida yake akiwaimbisha Mashabiki wake ''Msondongoma"
Nuh Mziwanda kwa Steji
Wadada wa Dodoma wakiburudishwa na baba Shishi Jukwaani

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI