Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel's akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel's kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack's kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack's a.k.a Jack Daniel's.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel's akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na kinywaji hicho kikali cha Mr. Jack's (Jack Daniel's) ambacho hakina Hang Over na harufu mbaya mdomoni na kukufanya ujisikie mwenye furaha wakati wote.
Kaunta ya Mr. Jack's a.k.a Jack Daniel's ikisimamiwa na Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel's.
Cheers to you Mr. Photographer.....wageni wakiendelea kupata SHOT za Mr. Jack's.
Baadhi ya brand za Mr.Jacks' zenye ujazo tofauti zikiwa zimepambwa kwenye kaunta maalum.
Mwanamanyoya akishow love na Mr.Jack's.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishangaa kuona brand mbalimbali zakuvutia za Mr. Jack's.
Mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kufurahia SHOT za Mr.Jack's.
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege(mwenye kofia) akiwapa tano baadhi ya mashabiki wa Skylight Band kwenye kaunta ya Mr.Jack's iliyokuwa inatoa fursa kwa mashabiki wa band hiyo kupata SHOT za bure za Jack Daniel's.
Team Wanamanyoya wakipata Ukodak na tabasamu bashasha baada ya kupata SHOT za Mr.Jack's anayeonyesha upendo kwa wadau wa kinywaji hicho.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishow love na Mr.Jack's a.k.a Jack Daniel's.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akipata ukodak kwenye sehemu maalum yakumwandikia ujumbe wa kumtakia maisha mema Mr. Jack's a.k.a Jack Daniel's anayezaliwa mwezi huu wa tisa.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akiandika ujumbe maalum wa kumtaki birthday njema Mr. Jack's.
Pichani juu na chini ni baadhi ya mashabiki wa Skylight Band wakipata ukodak kwenye bango la Mr. Jack's
0 comments:
Post a Comment