Tuesday, September 30, 2014
MAANDAMANO YA CHADEMA,UKAWA JIJINI DAR ES SALAAM
12:27 PM
No comments
Wananchi wamefanya maandamano huko Manzese jijini Dar es Salaam wakipinga kile wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge Maalum la Katiba ikiwa ni mwendelezo wakutimiza tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA la kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Baadhi wa washiriki wa kliniki ya soka ya Kimataifa ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa umakini mafunzo ya darasani kwenye uwanja...
-
Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akila kiapo cha urais kuiongoza nchi ya Msumbiji jijini Maputo Msumbiji leo. Rais Dkt.Jaka...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...










0 comments:
Post a Comment