Thursday, September 25, 2014

KEYSHIA COLE, KUMPIGANIA MWANAUME ILIKUWA NI KUPATA KIKI TU, COVER NA NYIMBO ZA ALBUM MPYA VIKO HAPA!!!

SIKU chache baada ya kukamatwa na polisi kwa kumpiga mwanamke aliyekuwa na mpenzi wake ambaye ni Birdman, Keyshia Cole ametangaza nyimbo na cover la album yake mpya ya “Point Of No Return”.
Wasanii walioshirikishwa kwenye album hii ni pamoja na 2 Chainz, Future, Wale, August Alsina na Juicy J.
 1. “Intro (Last Tango)”
2. “Heat of Passion”
3. “N. L. U” (feat. 2 Chainz)
4. “Next Time” (Won’t Give My Heart Away)
5. “Rick James” (feat. Juicy J)
6. “Do That For (B.A.B.)”
7. “New Nu”
8. “She”
9. “Believer”
10. “On Demand” (feat. Wale & August Alsina)
11. “Love Letter” (feat. Future)
12 “Party Ain’t a Party” (feat. Gavyn Rhone)
13. “Remember (Part 2)”

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI