Monday, September 29, 2014

HAYA SASA KWA WALE WANAOPENDA KWENDA JESHINI, ANGALIA ADHABU ZA KIJESHI HIZI *PICHAZ*

Kwa haraka haraka hao ni wakosaji, walidharau amri za mahali fulani kwa bahati nzuri wakakutana na aliyetunga amri hizo, sasa wameambiwa wapige mbizi ambaye hataonekana kabisa nikimaanisha atakayezamia kwa sekunde kumi atakuwa amepona.
angalia hapo kila mtu ana style yake.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI