- DR. DRE ametajwa kuwa msanii wa hiphop aliyeingiza pesa zaidi mwaka huu akishikilia namba moja na kumpita Puff Daddy aliyekuwa nafasi hio mwaka jana.
- Dr Dre ametajwa kuwa na utajiri wa dola za Kimarekani milioni 620.
- Jay Z na Puff Daddy wameshikilia namba mbili wakiwa na dola milioni mbili 60 hii ikiwa hatua kubwa ambayo Jay z amepiga toka mwaka 2010.
- 1. Dr. Dre – $620 million
- 2. Jay Z – $60 million
- 3. Diddy – $60 million
- 4. Drake – $33 million
- 5. Macklemore & Ryan Lewis – $32 million
- 6. Kanye West – $30 million
- 7. Birdman – $24 million
- 8. Lil Wayne – $23 million
- 9. Pharrell Williams – $22 million
- 10. Eminem – $18 million
- 11. Nicki Minaj – $14 million
- 12. Wiz Khalifa – $13 million
- 13. Pitbull – $12 million
- 14. Snoop Dogg – $10 million
- 15. Kendrick Lamar – $9 million
- 16. Ludacris – $8 million
- 17. Tech N9ne – $8 million
- 18. Swizz Beatz – $8 million
- 19. 50 Cent – $8 million
- 20. Rick Ross – $7 million
- 21. J. Cole – $7 million
- 22. DJ Khaled – $7 million
- 23. Lil Jon – $7 million
- 24. Mac Miller – $7 million
Thursday, September 25, 2014
HAWA NDIO WASANII WA HIPHOP WALIOLIPWA PESA ZAIDI MWAKA HUU, #HIP HOP CASH KINGS
4:36 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
SALUM MWALIM, JOHN MNYIKA NA DK SLAA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA umefika tamati kwa kamati kuu ya cha...
-
TANZANIA imepata nafasi kubwa katika shirika la habari za burudani BET lililoko chini ya kampuni ya Viacom Inc, baada ya mtanzania Kay M...
0 comments:
Post a Comment