Wednesday, September 17, 2014

FURSA KWA WAIGIZAJI: JE UNA KIPAJI CHA KUIGIZA??? SHIRIKI KATIKA FILAMU YA HOFU *HORROR MOVIE*


MKURUGENZI mkuu wa kampuni inayofanya vizuri katika utengenezaji wa filamu, uzalishaji wa vipindi na kazi nyingi katika hafla mbalimbali ijulikanayo kwa jina la SASENI MEDIA, Bw. Isa Mbura ambaye pia ni Mhadhiri katika Shule kuu ya Uandishi wa Habari na mawasiliano kwa Umma, Chuo kikuu cha Dar es salaam, ameandika kupitia ukurasa wake wa facebook akiambatanisha picha ya USAILI kwaajili ya wale wote wenye vipaji vya uigizaji kujitokeza na kupata nafasi ya kushiriki katika filamu fupi na ndefu zinazotarajiwa kufanywa na kampuni yake ya SASENI MEDIA.
Bw. Isa Mbura,
Mkurugenzi mkuu wa SASENI MEDIA na Mhadhiri katika Shule kuu ya Uandishi wa Habari na mawasiliano kwa Umma, Chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ameandika ujumbe huu:
"To my fellow thespians/actors to whom we speak the same langauge. Haya fursa hii hapa. #saseni media #the creativity within. Proudly advertising for Actor's auditions. Lets help spread the word to the aspiring actors."

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI