LIGI ya mabingwa wa ulaya imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani ulaya – kule Etihad stadium Manchester waliikaribisha FC Bayern Munich katika mchezo wa kundi E
Mchezo huo uliowakutanisha mabingwa wa ligi za Ujerumani na England ulikuwa mgumu na mpaka kufikia dakika ya 90 bado matokeo yalikuwa 0-0, sifa zimuendee Joe Hart wa City kwa umahiri wa kuokoa michomo ya washambuliaji wa Bayern.
Katika dakika 3 za mwisho za nyongeza mchezaji wa zamani wa Man City – Jerome Boateng akaiadhibu timu yake ya zamani kwa kuifungia Bayern goli pekee na la ushindi kwenye mchezo huo.
Boateng alifumu a shuti kali ambalo Hart alijaribu kulifuata lakini likamshinda na kuipa Bayern ushindi wa kwanza kwenye ambalo linahusisha vilabu vya Spartak na As Roma.
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
Bayern Munich: Neuer 7,
Rafinha 6.5 (Pizarro. 84),
Boateng 7, Benatia 6.5 (Dante, 85),
Bernat 7.5, Lahm 6.5,
Alonso 6.5, Alaba 7,
Muller 6.5 (Robben, 76, 5.5),
Lewandowski 6.5, Gotze 7
Subs:
Reina, Dante, Shaqiri, Pizarro, Rode, Hojbjerg.
Scorer: Boateng, 89.
Manager: Pep Guardiola, 6.5
Man City: Hart 9, Sagna 6.5, Kompany 7,
Demichelis 6.5, Clichy 6,
Nasri 5.5 (Milner, 58, 6) Fernandinho 6, Toure 5.5,
Navas 6 (Kolarov, 87), Silva 7.5,
Dzeko 6 (Aguero, 74, 5.5)
Subs: Caballero, Kolarov, Aguero,
Lampard, Mangala, Boyata.
Manager: Pellegrini, 6.5
0 comments:
Post a Comment