KATIKA Exclusive interview na msanii Gabu aka Buganya Wa P Unit kuhusu tetesi za kuvunjika kwa kundi lao mwezi huu, Gabu amesema
“Hizi tetesi zilisamba tu kama Uvumi huko Kenya ila hawana mpango wa kutengana baada ya Miaka 10 ya kufanya kazi pamoja ingawa wanagombana na kupatana kama ndugu wanavyoishi.
Gabu pia amethibitisha kuwa P Unit wapo mbioni kukamilisha collabo kubwa na Yemi Alade na Burna Boy baada ya kutoa wimbo wao mpya wa Weka Weka.
0 comments:
Post a Comment