Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano la uwekezaji la Nyanda za Juu kusini kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya August 1, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kushoto) na Mkuu wa WIlaya ya Wanging’ombe, Esterina Kilasi kutoka kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya baada ya kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Nyanda za Juu Kusini August 1, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment