KAMA wengi Mjuavyo Kuwa Mrembo wa Bongo Jack Cliff alikamatwa China Mji wa Macau kwa Tuhuma za Kubeba Madawa ya Kulevya, Sasa mpya kutoka huko zinasema Kesi ya mrembo huyo imesomwa na Amehukumiwa Kifungo cha Miezi Sita Gerezani.
Chanzo cha habari hiyo hakijatoa maelezo ya kutosha kwanini iwe miezi sita tu na wakati huwa tunasikia kuwa huko adhabu kwa makosa kama hayo ni kali sana na hufikia hata kunyongwa….!Saturday, August 16, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WENGI wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Ki...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Mya Myat anataka aombwe msamaha na waandalizi wa shindano la taji hilo. ****** MSHINDI wa taji la urembo nchini Burma aliyenyang...
-
Martin Kadinda wakati akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Na Mayasa Mariwata IMEKAA POA SANA! Ubuyu kutoka Ho...
-
Amesajiliwa: James Rodriguez ametambulishwa Real Madrid leo na kukabidhiwa jezi mamba 10 Uwanja wa Santiago Bernabeu MFUNGAJI bora ...
0 comments:
Post a Comment