STORI kubwa ya staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili ilikua December 6, 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’
P. Diddy naye ameweka picha hiyo hapo chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA
0 comments:
Post a Comment