Msanii mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ akichati uku maombi yakiendelea
MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ amenaswa akichati kwenye simu wakati viongozi wa dini wakishusha maombi mazito.Tukio hilo lililowachefua baadhi ya waumini lilitokea hivi karibuni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Saba Saba, mjini Moro ambapo Masanja aliyekuwa meza kuu, wakati wenzake wakiongoza sala ya kufungua kongamano hilo, yeye alikuwa bize na simu.Monday, May 12, 2014
MMMH! KWELI USANII SI MCHEZO...MASANJA ADHIHIRISHA USANII WAKE...CAMERA ZAMNASA AKICHATI HUKU MAOMBI YAKIENDELEA
10:20 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye ta...
-
RAIS Mteule wa Marekani Donald Trump amepanga kufuta bajeti ya ununuzi wa ndege mpya ya Air Force One ambayo hutumiwa na marais wa nchi ...
-
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Rwekaza Mukandala amekanusha taarifa zilizozagaa zinazodai kuwa msanii wa Bong...
-
Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya...
-
JARIDA la Forbes limetoa list ya mastaa 10 wa kiume ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kazi zao za filamu. 1 Robert Downey Jr –...
0 comments:
Post a Comment