Rais Kikwete akipeana mikono na Balozi
wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks alipowasili kuweka jiwe la msingi la ujenzi
wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa
wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye
eneo la Uwanja huo. Kulia ni Waziri wa
Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe.
 |
Rais Kikwete akisalimiana na
Naibu Waziri wa Uchukuzi,
Dk.Charles Tizeba |
 |
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge
wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Uchukuzi
Mhe. Peter Serukamba |
 |
Rais akisalimiana na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa |
 |
Rais Kikwete akisalimiana na Diwani wa
Kata ya Kipawa, Mhe Bonnah Kaluwa
 |
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,
Mama Monica Mwamunyange.
 Rais Kikwete akisalimiana na mmoja
wa maofisa waandamizi wa mamlaka
ya viwanja vya ndege
 |
Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu
pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini
Mhe Jaap Frederiks na Waziri wa Uchukuzi
Dkt Harrison Mwakyembe |
|
|
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya
Viwanja vya ndege wakiwa wameupuna
kwenye hafla hii
Burudani
Wadau mbalimbali akiwemo mkongwe
Paul Lyimo (kuli) kwenye hafla hii
Taswirazzz
Wadau
Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya
Kuhudumia ndege, abiria na mizigo
ya Swissport Tanzania Tanzania
Limited, Gaudence Temu (kulia) na
wadau wengine
Maofisa mbalimbali wa huduma za
viwanja vya ndege
Wadau
Wadau
Rais Kikwete na viongozi wengine
katika meza kuu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege Tanzania,
Mhandisi Suleiman Suleiman
akikaribisha wageni
Wafanyakazi wa kampuni ya
ujenzi wa uwanja wa ndege
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
Wajenzi na Wafanyakazi wa
uwanja wa ndege
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
na wajenzi
Wadau wa Kipawa
Wadau wa Kipawa na vitongoji vyake
Wadau wa Kipawa
Balozi wa Uholanzi nchini
Mhe Jaap Frederiks
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison
Mwakyembe akimkaribisha
mgeni rasmi
Rais Kikwete akihutubia
Jinsi Terminal III ya Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere utavyoonekana baada ya ujenzi
wake kukamilika mwaka 2016
0 comments:
Post a Comment