Friday, October 26, 2012
EID MUBARAK JAMANI EH!!!
5:13 AM
No comments
ulimwenguwahabari.blogspot.com unawatakia waislamu wote Eid Mubarak popote pale walipo duniani.
Kupitia mtandao huu wa ULIMWENGU WA HABARI pia tunapenda kuwaasa ndugu zetu waislamu pamoja na wale wa kikristo kushikamana katika kuiendeleza amani ambayo hayati Mwl. J.K Nyerere baba wa taifa hili na mzee mwenzie Abeid Karume walituachia kama msingi wa umoja na Usawa kwa wote.
Pia viongozi hao walisisitiza kuwa watanzania wote ni ndugu, hivyo kwa wale waliokuwa na uwezo ni vyema basi wakashiriki chakula cha pamoja na wale ambao katika siku hii ya leo hawajajaaliwa kwani kwa kufanya hivyo atapata baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu!!!
EID-MUBARAK!!
ULIMWENGU WA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
MSANII wa kike maarufu nchini Marekani Nick Minaj amesema kuwa hana mpango wa kuolewa kwa sasa wala kuanzisha familia kwa sababu anahit...
-
JAMAA amekuwa inspirational kwa rika tofauti,mjasiriamali mwenye mafanikio ila historia ya elimu yake yakushangaza sana alifeli dara...
-
TUNAKUKUMBUKA ZAIDI KWA LADHA KAMA HIZI ULIZOTUACHIA.
-
Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana, kwani lishe hii hutumika kwa mama na mtoto anaendelea kukua tumboni. Kwa kawaida ma...
0 comments:
Post a Comment